Neno Laonekana katika Mwili Neno Laonekana katika Mwili

Neno Laonekana katika Mwili

Descripción editorial

Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ambaye Ameonekana kufanya kazi Yake, anaonyesha ukweli wote ambao huwatakasa na kuwaokoa wanadamu, na wote umejumuishwa katika Neno Laonekana katika Mwili. Hili limetimiza kile kilichoandikwa katika Biblia: “Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa Mungu” (Yohana 1:1). Na kuhusu Neno Laonekana katika Mwili, hiyo pia ilikuwa mara ya kwanza Alipozungumza mengi hivyo, na kwa muda mrefu sana, kwa wanadamu wote. Ilikuwa ya kipekee kabisa. Na zaidi, matamshi haya yalikuwa maneno halisi ya kwanza yaliyoonyeshwa na Mungu miongoni mwa wanadamu ambapo Aliwafichua watu, akawaongoza, akawahukumu, na kuzungumza nao wazi wazi na kwa hiyo, pia, yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo kwayo Mungu aliwaruhusu watu wajue nyayo Zake, mahali Anapokaa, tabia ya Mungu, kile Mungu anacho na alicho, mawazo ya Mungu, na sikitiko Lake kwa wanadamu. Inaweza kusemwa kwamba haya yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo Mungu alikuwa amezungumza kwa wanadamu kutoka mbingu ya tatu tangu uumbaji, na mara ya kwanza ambapo Mungu alikuwa ametumia utambulisho Wake wa asili kuonekana na kuonyesha sauti Yake kwa wanadamu katikati ya maneno.


Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/

Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ 

YouTube: https://l.kingdomsalvation.org/sw/video

Facebook: https://l.kingdomsalvation.org/sw/facebook

Email: contact.sw@kingdomsalvation.org

GÉNERO
Religión y espiritualidad
PUBLICADO
2020
6 de diciembre
IDIOMA
SW
Suajili
EXTENSIÓN
3,817
Páginas
EDITORIAL
Kilichapishwa na Taoyuan Christian New Song Church Foundation
VENDEDOR
The Church of the Almighty God
TAMAÑO
3.2
MB

Más libros de Kristo wa Siku za Mwisho