• $12.99

Publisher Description

Kama ungebadili maisha yako, ni vipi yangekuwa tofauti ?


Safari ya kuwa huru ni uzoefu binafsi ambao utaongozwa kupitia mchakato wa kujulikana na wewe mwenyewe, watu wengine na Mungu pia. Safari ya kuwa huru inatuonyesha:


• Ya kwamba mabadiliko ya kudumu yanawezekana.

• Vile unaweza kushinda vikwazo na uwe na nguvu ya kuendelea mpaka mwisho.

• Jinsi ya kuandika azimio lako mwenyewe kuhusu mabadiliko ili uweke fikira zako kwenye safari yako.


“Ninapendekeza kitabu hiki kwa kikundi cha watu, kwani kinampa mtu binafsi nafasi kubwa ya kujifunza, kukua na kuwajibika kwa kila mhusika kwenye kikundi. Kitabu hiki kilinifanya nitambue kuwa ya kale yamepita na ninaishi katika maisha mapya yenye uhuru”.

—Cornel Onyango, Co-Founder and Country Director for Care for Aids, Inc.


Kupitia kitabu cha Safari ya kuwa Huru katika kikao cha kikundi kidogo, kulivunja minyororo ambayo ilikuwa imeniweka katika utumwa kihisia, kiakili na kiroho. Kuwa na mawazo yaliyo na afya zaidi kumeniwezesha kwa hakika kuweza kupata upendo wa Mungu na uwepo wake kila siku.

—Anna Edgeston Ed.D. LPC -MHSP

GENRE
Body, Mind & Spirit
RELEASED
2020
30 January
LANGUAGE
SW
Swahili
LENGTH
228
Pages
PUBLISHER
Xulon Press
SELLER
South Tx Broadcasting dba Xulon Press
SIZE
1.5
MB

More Books by Scott Reall