Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani? Na Anafanya Nini? Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani? Na Anafanya Nini?

Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani? Na Anafanya Nini‪?‬

    • $25.99
    • $25.99

Publisher Description

Kitabu hiki adimu kinaelezea kwa kina kuhusu fani nyeti ya Uafisa Usalama wa Taifa (ushushushu). Maelezo hayo yanahusu maana ya Uafisa Usalama wa Taifa, watu wanaojihusisha na fani hiyo, jinsi wanavyopatikana, mafunzo yao, maisha yao kazini, na changamoto mbalimbali kitaifa na kimataifa. Mtiririko wa maelezo unamfanya msomaji awe kama yupo katika safari ya 'ushushushu' tangu mwanzo hadi kazini. Maelezo hayo ni kuhusu taaluma hiyo popote pale duniani na si kwa nchi moja tu.

GENRE
Business & Personal Finance
RELEASED
2017
October 15
LANGUAGE
SW
Swahili
LENGTH
135
Pages
PUBLISHER
Evarist Chahali
SELLER
Draft2Digital, LLC
SIZE
4.2
MB

More Books by Evarist Chahali

Ujasusi Ni Nini? Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa? Ujasusi Ni Nini? Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?
2023
Ujasusi Ni Nini? Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa? Ujasusi Ni Nini? Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?
2023
Miaka Miwili Ya Urais Wa Magufuli: Safari Ya Matumaini Au Nyota Iliyofifia? Miaka Miwili Ya Urais Wa Magufuli: Safari Ya Matumaini Au Nyota Iliyofifia?
2017