Sadaka Ya Tarehe Tano: Msumeno Ulao Mbele Na Nyuma Sadaka Ya Tarehe Tano: Msumeno Ulao Mbele Na Nyuma

Sadaka Ya Tarehe Tano: Msumeno Ulao Mbele Na Nyuma

    • $2.99
    • $2.99

Publisher Description

Sadaka ya Tarehe Tano ni Agizo la Agano. Ni msumeno ulao mbele na nyuma; ni dawa na ni sumu; inaweza kuhuisha na inaweza kufisha. Kutotoa Sadaka ya Tarehe Tano ni kukaidi na kukaidi ni dhambi. kKama umekosa, Mungu Anajua huna. Hivyo, hutakuwa na dhambi kwa kutotoa.
Kumbuka u katika Agano ambalo ni makubaliano kati yako na Mungu wako. Hali iliyokufanya ujiunge na Agano la Baba Mtume Elijah liwe ndilo shinikizo lako kutenda la yakupasayo.
Hadithi ya Anania na mkewe Safira inawaumia makuhani na makarani katika Sadaka ya Tarehe Tano. Wenye bahati hutambua wakatubu na kuishi. Wengine hawapewi nafasi. Ya kuwapata huwapata wakawa wa kufahamu baada ya kwenda zao.
Ole wao wailayo Sadaka ya Tarehe Tano,
Ole wao wajikatiao kipande cha Sadaka ya Tarehe Tano,
Ole wao waongeao vibaya kuhusu Sadaka ya Tarehe Tano,
Ole wao wasiojua chochote kuhusu Sadaka ya Tarehe Tano,
Ya kuwapata yatawapata pasipo kujua,
Ila yatasemwa wao wakiozeana udongoni.

GENRE
Religion & Spirituality
RELEASED
2023
June 23
LANGUAGE
SW
Swahili
LENGTH
6
Pages
PUBLISHER
James Kemoli Amata
SELLER
Draft2Digital, LLC
SIZE
195.9
KB

More Books by James Kemoli Amata

Maneno na Aina za Maneno Maneno na Aina za Maneno
2014
Burning In Doubts Burning In Doubts
2015
Simple Swahili for Beginners Series Book 1 Maamukizi (Salamu) - Salutations (Greetings) Simple Swahili for Beginners Series Book 1 Maamukizi (Salamu) - Salutations (Greetings)
2015
Mama Peris Imali Maikuva: The Fallen Mighty Tree Mama Peris Imali Maikuva: The Fallen Mighty Tree
2023
Crying to Deaf Governments: The Owners Are All Dead Crying to Deaf Governments: The Owners Are All Dead
2023
Generosity Blesses Generosity Blesses
2023