![Ijue, Dhiki Kuu na Unyakuo wa Watakatifu](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
![Ijue, Dhiki Kuu na Unyakuo wa Watakatifu](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
Ijue, Dhiki Kuu na Unyakuo wa Watakatifu
Descripción editorial
Watu wa Mungu wanatakiwa kujua majira na wakati sahihi wa unyakuo na saa ya kurudi kwa Bwana Yesu kulichukua kanisa na kukusanyika mbele zake na kukaa katika makao yetu ya milele. Nimeandika kitabu hikio kuwasaidia watu wa Mungu kujua tupo katika majira gani ya kanisa ili waweze kujiandaa kwa ajili ya tukio hili kubwa litakalotokea muda wowote kuanzia sasa. Maandiko matakatifu yanasema kama mtu angelijua siku na saa atayokuja mwizi angelikesha. “Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake”. (Mathayo 24:36).