Heri ni… Heri ni…

Heri ni‪…‬

Kiswahili

    • 0,99 €
    • 0,99 €

Publisher Description

Hazitafaidi juhudi za mtu yeyote, maisha ya kupendeza na yaliyojaa maana kuyafikia. Udini na matendo yote mema hayatamsaidia mtu kupatana na kuwasiliana na Mungu. Ni bure jitihada za kumtafuta Mungu katika asili (maumbile) na falsafa (filosofia). Njia ya mwanadamu kujaribu kumfikia Mungu ni ruzu na haina msingi. Hata hisia zake zinamuarifu hivyo. Kwa hivyo hana amani. Katika fahamu zake na hata bila kufikiria mwanadamu anamtafuta Mungu. Mnyeo (tamaa) ya ferdausi (paradisi) aliyoipoteza inamtesa. Kwa nishati (nguvu) na juhudi tele mwanadamu anajaribu kwa namna fulani kuuondoa utengano kati yake na Mungu.

Mkono wa Mungu Muumba uko juu yake na mwanadamu ameumbwa kwa ajili yake Mungu (ili akawe na uhusiano na Mungu Muumba wake). Lengo la maisha ya mwanadamu sio tu kujitambua na kujitegemea. Maana ya maisha ya mwanadumu ni katika Mungu peke yake.

Mtu aitafutaye maana ya maisha atawajibika kujishuhulisha na swala kuhusu Mungu na wala hakuna njia nyingine kamwe.

GENRE
Religion & Spirituality
RELEASED
2014
13 May
LANGUAGE
SW
Swahili
LENGTH
40
Pages
PUBLISHER
Gospel Medien e.V.
SIZE
1.7
MB

More Books by Petra Schaadt & Rochus Schaadt

Μακάριος ο άνθρωπος... Μακάριος ο άνθρωπος...
2014
Jletjlijch sent... Jletjlijch sent...
2014
Hạnh phúc là... Hạnh phúc là...
2014
ผู้ที่มีความสุข... ผู้ที่มีความสุข...
2014
​Szczęśliwi są... ​Szczęśliwi są...
2014
Ne Mutlu… Ne Mutlu…
2014