Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (Ⅰ) Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (Ⅰ)

Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (Ⅰ‪)‬

    • £1.99
    • £1.99

Publisher Description

Injili ya maji na Roho ni haki ya Mungu!


Maneno katika kitabu hiki yatatosheleza kiu ya moyo wako. Wakristo wa nyakati hizi wanaendelea kuishi pasipo kufahamu suluhisho halisi la dhambi za kila siku watendazo kila kukicha.

Je, unafahamu juu ya haki ya Mungu? Nadhani utajiuliza mwenyewe juu ya swali hili na hatimaye kuamini juu ya haki ya Mungu ambayo imedhihirishwa kupitia kitabu hiki.

Haki ya Mungu imekuwa ikiandamana na Injili ya maji na Roho. Hata hivyo kama ilivyo hazina yenye thamani imekuwa ikifichwa mbali na macho ya wafuasi wa washika dini wengi kwa miongo kadhaa. Namatokeo yake watu wengi wamekuwa wakitegemea na kujigamba juu ya haki zao binafsi badala ya ile haki ya Mungu. Kwa hiyo kanuni za Kikristo zisizo na maana zimetawala imani katika mioyo ya waumini wengi huku wakidhani kwamba ndizo zenye haki ya Mungu.

Kanuni za kuchaguliwa toka asili, kuhesabiwa haki na utakaso wa awamu kwa viwango, ni mojawapo ya kanuni kuu za mafundisho ya wakristo ambayo yameleta tafrani za kimawazo na utupu ndani ya nafsi za waumini.

Lakini sasa, wakristo wengi imewapasa kurudi na kuelewa upya juu ya Mungu, kujifunza juu ya haki yake na hatimaye kuendelea na imani iliyo na uhakika.

"Bwana wetu aliye haki ya Mungu" atakupatia nafsi yako uelewa mkuu na kukuongoza katika amani. Mwandishi anapenda uhodhi baraka ya kuifahamu haki ya Mungu.

Baraka ya Mungu iwe nanyi.

GENRE
Religion & Spirituality
RELEASED
2021
12 April
LANGUAGE
SW
Swahili
LENGTH
373
Pages
PUBLISHER
Hephzibah Publishing House
SIZE
1.3
MB

More Books by Paul C. Jong

ĐỀN TẠM: Một Hình Bóng Chi Tiết về Đức Chúa Jêsus Christ (Ⅱ) ĐỀN TẠM: Một Hình Bóng Chi Tiết về Đức Chúa Jêsus Christ (Ⅱ)
2021
GOD'S LETTERS TO US IN THE AGE OF CORONAVIRUS GOD'S LETTERS TO US IN THE AGE OF CORONAVIRUS
2021
Kazania o Ewangelii Jana (III) - Jedzcie Moje Ciało i Pijcie Moją Krew Kazania o Ewangelii Jana (III) - Jedzcie Moje Ciało i Pijcie Moją Krew
2021
The Fail-safe Way for You to Receive the Holy Spirit The Fail-safe Way for You to Receive the Holy Spirit
2011
ĐỀN TẠM: Một Hình Bóng Chi Tiết về Đức Chúa Jêsus Christ (Ⅰ) ĐỀN TẠM: Một Hình Bóng Chi Tiết về Đức Chúa Jêsus Christ (Ⅰ)
2021
Les lettres de Dieu pour nous à l'ère du coronavirus Les lettres de Dieu pour nous à l'ère du coronavirus
2023