Sauti ya Jogoo
-
- 3,49 €
-
- 3,49 €
Publisher Description
Sauti ya Jogoo. Jifunze kuhusu wanyama wa nyumbani, sauti zao, chakula chao, mahali wanapoishi na pia nani ni mlafi kupita wengine.
Hadithi imepambwa kwa michoro yenye rangi za kuvutia ya aina ya Tingatinga ili watoto wafurahie wakati wanajifunza.