Zambada na Hadithi zingine Zambada na Hadithi zingine

Zambada na Hadithi zingine

    • 4,49 €
    • 4,49 €

Publisher Description

Kuna wakati maisha yanaonekana kama fumbo lisilo na majibu sahihi,katika nyakati kama hizo  unahitaji ujasiri ili uweze kuendelea kusonga mbele.

Waswahili hawakukosea waliposema kuwa maisha ni safari,hata hivyo jambo moja la uhakika binadamu sio dereva wa safari yake bali ni abiria asiyejua mahali aendako.

Kitabu hiki kina jumla ya simulizi fupi kumi na nne (14),kimeandaliwa kwa ajili ya kuelimisha mambo mbalimbali kuhusu maisha,lakini pia  kuburudisha na kukuhamasisha ili uweze kuendelea ulipoishia kwa nguvu zote.

.

Nakukaribisha kwenye ulimwengu wa mawazo yangu

GENRE
Fiction & Literature
RELEASED
2021
24 August
LANGUAGE
SW
Swahili
LENGTH
190
Pages
PUBLISHER
Radi Ibrahim Nuhu
SIZE
1.4
MB

More Books by Radi Ibrahim Nuhu

Lie like a Pro Lie like a Pro
2023
Beautiful Bad Beautiful Bad
2023