Kiswahili Kibovu
-
- USD 1.99
-
- USD 1.99
Descripción editorial
Kiswahili Kibovu ni mkusanyiko wa mifano michache tu kati ya makosa mengi yasikikayo katika matumizi ya Kiswahili. Wanafunzi wanapokiiga hujikuta wameanguka mitihani huku wakidhani wanajua Kiswahili. Shida ni kwamba makosa haya ni kutoka kwa watu wanaoheshimiwa katika jamii. Wanafunzi wawe makini wasikiige bila kujali wakidhani wanaongozwa sawasawa.