KUFAHAMU NGUVU YA IMANI
-
- 115,00 kr
-
- 115,00 kr
Publisher Description
Maisha sio uwanja wa mchezo bali ni uwanja wa vita. Vita vyetu kimsingi ni vya kiroho, lakini Imani ndio huo ushindi unaotufanya sisi kuwa washindi. Kadhalika, shida katika maisha hazionekani lakini matokeo yake hayakaniki.
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Waefeso 6:12