KUVUNJA LAANA ZA MAISHA
-
- $16.99
-
- $16.99
Publisher Description
Rafiki laana ni halisi! wala sio za kufikirika au mawazo ya mwanadamu, hapana. Ni halisi! zinafanya kazi! Laana ni nguvu katika ulimwengu usioonekana, zina uwezo wa kuleta mabaya kutimia.
Kuna watu wamekufa, kwa mfano hospitalini, tu kwa sababu madaktari wameshindwa kugundua tatizo husika lilikuwa ni nini mpaka walipochelewa. Madaktari watakuwa bize wakishughulikia kitu kimoja, wakati kuna kitu kingine kabisa kina mtafuna huyo mtu, mpaka uhai wake unakatika kabisa.