![Maneno Yaliyo Bora Kabisa Kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
![Maneno Yaliyo Bora Kabisa Kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
Maneno Yaliyo Bora Kabisa Kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho
(Uteuzi wa Neno Laonekana katika Mwili)
Descripción editorial
Kitabu hiki kina dondoo kutoka katika maneno yaliyo bora kabisa yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, katika Neno Laonekana katika Mwili. Maneno haya yaliyo bora kabisa yanafafanua ukweli moja kwa moja, na yanaweza kuwawezesha watu waelewe mapenzi ya Mungu moja kwa moja, waje kuijua kazi Yake, na wapate maarifa kuhusu tabia Yake na kile Anacho na alicho. Maneno haya ni mwongozo ambao kwao wale wote wanaotamani sana kuonekana kwa Mungu wanaweza kutafuta nyayo Zake. Yanaweza kukuongoza upate mlango wa kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
YouTube: https://l.kingdomsalvation.org/sw/video
Facebook: https://l.kingdomsalvation.org/sw/facebook
Email: contact.sw@kingdomsalvation.org