Kushindwa Sasa Basi Kushindwa Sasa Basi

Kushindwa Sasa Basi

Publisher Description

Ulimwengu tunaoishi ni ulimwengu wa mapambano kati ya nguvu za giza na ufalme wa nuru. kadiri ule mwisho unavyokaribia ndivyo vita kati ya giza na nuru vinavyopamba moto. Watu wa Mungu wanahitaji kuvaa silaha zote za Mungu ili kupambana na nguvu za giza na kushinda na kumrudishia Mungu utukufu. Kushindwa sasa basi kitakufungua kutoka katika maisha ya kushindwa na kushambuliwa na adui shetani hadi kufikia maisha ya ushindi. Karibu sana upokee ushindi wako.

GENRE
Religion & Spirituality
RELEASED
2016
November 12
LANGUAGE
SW
Swahili
LENGTH
134
Pages
PUBLISHER
Charles Nakembetwa
SELLER
Draft2Digital, LLC
SIZE
245.8
KB
Perfect Dreams Perfect Dreams
2020
Ijue, Dhiki Kuu na Unyakuo wa Watakatifu Ijue, Dhiki Kuu na Unyakuo wa Watakatifu
2021